Ninayo Hapa Video Mpya Nyingine ya Bhudagala Mwana Malonja- Inaitwa Mwana Ndauli,Mzuri Haswaa
Monday, May 30, 2016
Malunde1 blog ni kisima cha nyimbo za asili...Leo Mei 30,2016 tumekuletea Video mpya ya msanii maarufu wa nyimbo za asili wa kabila la Kisukuma kutoka kanda ya Ziwa nchini Tanzania .Bhudagala Mwana Malonja anatoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo unaitwa Mwana Ndauli,anazungumzia maisha ya jela upo katika Albamu yake mpya 2016 inaitwa "Kishimbe"..Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin