Video Mpya Kabisaa!! Gwiji wa Nyimbo za Asili,Bhudagala Mwanamalonja- Inaitwa YAMUSE
Monday, May 30, 2016
Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakutambulishia rasmi album mpya 2016 ya msanii maarufu/manju wa nyimbo za asili hususani kabila la Kisukuma maarufu sana katika kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla ,Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoa wa Mara.Albamu yake mpya inaitwa "Kishimbe"..sasa tazama video ya wimbo unaitwa unaitwa Yamuse
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin