Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Wanaolalamika Juu ya MAJIPU Anayoyatumbua Hadharani..Angalia Video Hapa


Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. 




Katika hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani.



Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati wanawaibia wananchi hakuwa na huruma.



"Wapo Wanaodai Tunakiuka haki za Binadamu Kuwatangaza Wanaotumbuliwa.....Wao walikuwa Wanafanya sawa Kuwaibia Hadharani Watanzania? " Amehoji Rais Magufuli.


==> Zaidi Tazama Video hapa Rais Magufuli Akizungumza

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post