VANESSA ni ngoma mpya ya Bexy wamusic ni ngoma mpya inayofuata baada ya kutoa ngoma inayoitwa Aibu na nyingine kama ukisinzia rmx Lulu........VANESSA ni wimbo unaozungumzia mapenzi ya pande mbili.Sikiliza wimbo huu hapa chini
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527