JESHI LA MAJINI LAKAMATA TANI 20 ZA MAFUTA YA DIZELI BANDARI YA DAR ES SALAAM
Jeshi la Polisi kitengo cha majini limekamata tani zipatazo 20 za mafuta ya Dizeli yaliyokuwa katika Jahazi lililokuwa kando ya bandari ya Dar es Salaam likijiandaa kwa safari ya kwenda Zanzibar.

Mkuu wa Kitengo hicho cha polisi cha wanamaji Bwana Mboje John Kanga amesema watu watano wanashikiliwa kuhusiana na tukio hilo na uchunguzi zaidi unaendelea.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post