BAADA YA KUPOKEA MABILIONI YA MAGUFULI,JAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUKA,TAZAMA VIDEO HAPAFeb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Mahakama duniani, February 9 jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande amethibitisha kuwa hela zimeingia kwenye mfuko wa mahakama uliyopo benki kuu. Hii ni video ya jaji mkuu, waziri wa fedha Dk Philip Mpango na waziri wa katiba na sheria Dk Harrison Mwakyembe ikielezea full stori hapa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post