Hii nayo Kali!! KUTANA NA SHINDANO LA AJABU LA WANAUME KUSHINDANA KUBEBA WAKE ZAO



Ukiambiwa kuna aina nyingi ya Mashindano Duniani basi ujue kwamba yako ya aina nyingine ambayo wewe hujawahi kuyasikia wala kuyashuhudia, hii ya wanaume kubeba wake zao je?


Baba kwenye harakati za kuusaka ushindi na mpenzi wake shingoni.

Iko hivyo mtu wangu, wanaume wa Florida, South Carolina na Colorado Marekani walijipanga kabisa kushiriki Mashindano hayo ya mwaka, hii ilikuwa October 12 2015, kazi sio rahisi.. unakatisha kwenye magogo, mchanga, madimbwi ya maji, na washindi pia kuna zawadi zao ikiwemo pesa ambayo itazidishwa mara tano ya uzito wa mwanamke na pia kwenda kushiriki Mashindano ya Dunia ya kubeba wanawake ambayo yatafanyika Finland.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post