Video Mpya Kabisa!! KING KAKA Ft JOH MAKINI & G NAKO- Wimbo unaitwa NAJIPENDELEA
Friday, August 21, 2015
King Kaka ni Rapper toka Pande za Kenya, ameachia Video ya Single yake mpya akiwashirikisha wakali wawili kutoka Crew yaWeusi, Joh Makini na G Nako, ngoma yake inaitwa "Najipendelea" .
Video imefanyika hapa hapa Bongo chini ya Director Joowzey.
Bofya hapa chini kutazama Video hii
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin