ANGALIA PICHA ZA AWALI LOWASSA AKICHUKUA FOMU YA URAIS TANZANIA,HATIMAYE POLISI WARUHUSU MAANDAMANO
Baada ya mazungumzo kati ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam na Viongozi wa UKAWA, hatimaye jeshi la Polisi limekubali na kuruhusu maandamano ya mgombea Urais CHADEMA Mh. Lowassa yaanzie ofisi za CUF Buguruni kwenda Tume ya uchaguzi (NEC).Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo la tukio

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post