Wasukuma Mpoo??- NIMEKULETEA VIDEO MPYA YA BHUDAGALA,INAITWA NG'WAMBA..,HAWA WANENGUAJI HATARII....


Mpenzi msomaji wa mtandao huu wa Malunde1 blog,hususani wewe unayefuatilia kipengele cha Nyimbo za asili,leo nakutambulishia rasmi video ya wimbo mpya ya msanii nguli wa nyimbo za asili kutoka kanda ya ziwa Victoria,ndugu Bhudagala Mwanamalonja,inaitwa Ng'wamba,nyimbo hii inapatikana katika albamu yake mpya mwaka 2015 ya Mhunda.

Tazama video hii kali hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post