Lowassa Noma!! NI MAFURIKO TENA,ANGALIA HAPA PICHA 20 AKICHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS KUPITIA UKAWA,NI BALAA SANA


Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibuni,jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa pichani akiwapungia wanachama na wafuasi mbalimbali wa chama cha CHADEMA waliofika kumshuhudia akiwa sambamba na Mkewe Mama Regina akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar  es salaam ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama.










Mh. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu





Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

Mhe. Edward Lowassa (kushoto) na akiwa na mke wake Regina Lowassa wakisaini datari la wageni katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar es salaam, Leo Alhamisi Julai 30,2015

Baada ya kuchukua fomu.

Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527