ZIPO HAPA PICHA 50 ZA SHOW BABU KUBWA YA GWIJI WA NYIMBO ZA ASILI BHUDAGALA ILIYOKUSANYA MAELFU YA WATU LEO SHINYANGA
Hapa ni katika uwanja wa Shule ya msingi Singita katika kijiji cha Singita kata ya Usanda tarafa Samuye wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga ambako leo kumefanyika Show kubwa ya msanii nguli wa nyimbo za asili kutoka kanda ya Ziwa Bhudagala Mwanamalonja.

Show ya gwiji huyo wa nyimbo za Kisukuma iliyoanza leo saa Nane mchana hadi saa 12 jioni imekusanya maelfu ya wapenzi wa nyimbo za asili kutoka mkoa wa Shinyanga.

Bhudagala yupo katika ziara ya kuzungukia maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa Victoria akitambulisha albamu yake mpya mwaka 2015 inayojulikana kwa jina la Mhunda,yenye nyimbo 6 kama vile Mhunda,Bashike,Bhasobi,Tanzania,Ng’wamba na Lemi.

Katika ziara yake hiyo Bhudagala ameambatana na kundi la watu 27,kati yao wanenguaji 12 na vijana mabingwa wa sarakasi wanne.

Malunde1 blog,ambayo ni mdau mkubwa wa nyimbo za asili ilikuwepo eneo la Tukio,mwandishi mkuu wa mtandao huu,ndugu Kadama Malunde,ametusogezea picha zaidi ya 50 kutoka eneo la tukio,TAZAMA HAPA CHINIMaelfu ya wakazi wa Shinyanga wakishuhudia show ya msanii Bhudagala.


Show ilianza saa nane kamili mchana,nyimbo za zamani za msanii Buhudagala,ukiwemo wa Amani Tanzania,unaohusu mambo ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania.Pichani ni msanii Bhudagala(mwenye nguo nyekundu) ambaye ni mtaalam wa kuimba na kucheza akionesha mbwembwe zake...na wanenguaji wake matataMiongoni mwa wanenguaji 12 wa kiume wa msanii Bhudagala wakifanya yaoWimbo Gomisi ukiendelea..

Wakazi wa Singita wakishuhudia show


Bhudagala yuko na wachezaji 12 na waruka sarakasi 4,utawaona katika picha zifuatazoMbwembwe sasa....


Kundi la sarakasi linaloundwa na vijana wanne,wakitoa burudaniMabingwa wa sarakasi wakiwa wamebeba watoto juu kwa juuHawa jamaa,noma,mmoja kasimama juu ya kichwa cha mwenzakeBurudani inaendelea...

Msanii Bhudagala akiimba wimbo wa Bhabha ShokagaBurudani inaendelea...

Burudani inaendelea....Burudani inaendelea....Wachezaji wakitoa burudaniKundi la sarakasi wakifanya yao...Wapenzi wa nyimba za asili wakiwa eneo la tukioTunafuatilia kinachoendelea...


Sarakasi .....


Tunafuatilia show ya Bhudagala...


Burudani inaendelea.....

Kazi inaendelea...


Wanenguaji wakikata viuno bila aibu...Safi...


Wananchi wakiwa wamezunguka uwanja,wengine wanepanda juu ya miti


Burudani inaendelea...

Burudani inaendelea...


Wafanya kazi wa Kampuni ya simu za mkononi Airtel nao walikuwepo eneo la tukio wakifanya yaoWananchi wakiwa eneo la tukio...Show inaendeleaBingwa wa sarakasi maarufu kwa jina la Mawazo akionesha mchezo wa kubalance juu ya meza...Bingwa wa sarakasi maarufu kwa jina la Mawazo akionesha mchezo wa kubalance juu ya meza...Wanenguaji matata wa msanii Bhudagala wakicheza kwa madaha wimbo wa " Mhunda"unaobeba albamu yao mpya 2015


Wakazi wa Singita na maeneo ya jirani wakishuhudia show ya Gwiji wa nyimbo za asili kanda ya Ziwa Victoria Bhudagala MwanalonjaTunaangalia show....Mnenguaji maarufu kwa jina la Machupi akifanya yake
Wimbo Mhunda ukashika kasi...

Burudani inaendeleaWacha weeeee......


Wanenguaji 12 wa msanii Bhudagala wakifanya yaoMbwembwe zikaendelea....Burudani inaendelea...


Msanii Bhudagala akiimba wimbo wa Bhashike,ambao wachezaji wake huvaa nguo za asiliMsanii Bhudagala akifanya yake....Wanenguaji wakicheza wimbo wa BhashikeMsanii Bhudagala akicheza....Msanii Bhudagala akiimba kwa hisia....Wanenguaji wakifanya yao

Mkurugenzi wa Malunde1 blog,bwana Kadama Malunde (kulia) akiwa na msanii Bhudagala baada ya Show

Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post