CCM Noma Sana!! KINANA AFUNIKA JIJINI MWANZA,MAELFU WAJITOKEZA,MWENYEWE APIGA SALUTI ...Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza.

"'SAFI SANA"Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aonyesha dole gumba ambayo ni ishara ya CCM na kuonyesha kuwa mambo safi, alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.


Malikia wa taarab, Khadija Kopa akiongoza kuimba wimbo maalum wa CCM, wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrhmn Kinana uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Furahiha jijini Mwanza


Mashabiki wakimg'amg'ania Khadija Kopa wakati akiimba wimbo maalum mbele ya mashabiki hao wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo

Maelfu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo

Maelfu wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja hivyo leo.


Aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu uliopita, Twalib Ngika, akitangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo


Aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu uliopita, Twalib Ngika, akikabidhi yadi ya Chadema kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinna baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu huyo uliofanyika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo

Kinana akisindikizwa na maelfu ya wananchi alipokuwa akiingia kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo. Pmoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo n Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo

Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, akihutubia mkutano huo


Mmoja wa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo, akiwa na mtoto wake aliyeshika kipeperushi cha CCM


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mlongo akihutubia kwenye mkutano huo

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akihutubia kwenye mkutano huo

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihitimisha kwa hotuba katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini wanza leo. PIcha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post