RAIS KIKWETE AZINDUA MELI MBILI KUBWA ZA KIVITA, NI BALAA,ANGALIA PICHA HAPA

16
Kutoka Dar es Salaam leo April 28  2015 kingine ambacho kimechukua nafasi kubwa kwenye HEADLINES ni hii stori ya uzinduzi wa Meli kubwa mbili za Kivita ambazo zimezinduliwa na Rais Kikwete
Meli zimekabidhiwa kwa Kikosi cha Jeshi la Maji TZ Kigamboni.. Hapa unaweza kuona picha kutoka kwenye uzinduzi wa Meli hizo.

255

Meli hizi zitakuwa zikitumiwa kwenye patrol katika eneo la Bahari.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi meli mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na makamanda wa meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
15

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Chifu Edward Wanzagi wa kabila la Wazanaki (kati) pamoja na Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Makongoro Nyerere baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.


Picha zote kutoka: Ikulu, issamichuzi.blogspot.com na tanzaniangovernment.blogspot.com.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post