![]() |
Watoto kutoka Kambarage walikuwepo pia kumpa sapoti mtoto mwenzao katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Shy Villa katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga |
![]() |
Bwana Frank Mshana mwandishi wa habari ITV na Radio One akipata kinywaji laini |
![]() |
Ukumbi wa Shy Villa |
![]() |
Shaaban Alley akiwa na watoto,kushoto ni mtoto wake Alley Shaaban,kulia ni Mohamed mudy |
![]() |
Watoto wakiwa ukumbini |
![]() |
Watoto katika pozi mbalimbali |
![]() |
Ni katika ukumbi wa Shy Villa Kambarage mjini Shinyanga |
![]() |
Sherehe inaendelea |
![]() |
Baba mtoto akizungumza jambo katika sherehe hiyo |
![]() |
Pozi na watoto |
![]() |
Msosi pia ulikuwepo |
![]() |
Wanabadilishana mawazo na kufurahia sherehe |
![]() |
Bi Kurthum Alley
ambaye ni shangazi yake na mtoto Alley Shaaban akimsaidia kukata keki
|
![]() |
Furaha ikatawala |
![]() |
Mtoto Alley Shaaban akimlisha keki mama yake mzazi,bi Aziza
Idd
|
![]() |
Mtoto Alley Shaaban akimlisha keki baba yake |
![]() |
Sherehe inaendelea |
![]() |
Baba na mama wakimpa mkono wa pongezi mtoto wao kipenzi kwa kutimiza umri wa miaka 11 |
![]() |
Zawadi zikachukua nafasi |
![]() |
Watoto wanampongeza mtoto mwenzao |
![]() |
Sherehe ikaisha kwa burudani-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Social Plugin