ANGALIA PICHA 7- AJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS, LAUA NA KUJERUHI HUKO IGUNGA TABORA
Tuesday, December 16, 2014
Basi la kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupoteza maisha katika eneo la Makomero wilayani Igunga, mkoani Tabora.
Inadaiwa kuwa mbali na kuua pia abiria wengi wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Mohammed Trans kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka huku kukiwa na taarifa zingine kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kugonga shimo
Basi hilo limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin