Hii sasa imezidi!!! WANAFUNZI WA CHUO HUKO IRINGA WASHINDANA KUNYONYANA MATE,MSHINDI APATA MILIONI 2 NA NUSU,TAZAMA PICHA HAPA

Lucy, Salama na Amina wakishindana
Raheri na Suzy wakiwa kwenye hisia kali za kunyonyana ndimi hadi mshindi apatikane.
Hawa Xdeejayz haikupata majina yao nao pia wakiwa kwenye kwenye shindano hilo. 

Angel na Monalisa kulia wakiwa kwenye bize kuhakikisha mshindi anapatikana bila upendeleo
Na Mwandishi wa Xdeejayz- Iringa
Hakika ni ukweli kwamba taifa letu la tanzania linakwenda kuangamia kwa kwani vijana wengi tunaowategemea kuwa viongozi wa kesho na tegemeo kwa tafia hili wameendelea kuonesha tabia za ajabu kiasi cha kuogopesha.

Wasichana kadhaa wanaosoma kwenye chuo kimoja maarufu mkoani Iringa jina linahifadhiwa wamenaswa na kamera za Xdeejayz wakifanya part ya kushindana kunyonyana mate hadi mshindi kupatikana.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopenya hadi kwenye part hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi .

Hata kwa kweli hatari kubwa sana kwa matukio ya wanafunzi hao wa vyuo kwani kiukweli taifa letu liko hatarini kukosa viongozi baadae kwani kwa vitendo hivi hakika hapo hakuna kiongozi mtarajiwa.

Baadhi ya watu wamesema ni hatari upuuzi huu kweli tutategemea kupata mawaziri hapa au rais wa nchi? 
Hawa viongozi tuliokuwa nao sasa hawakuwa hivi ndiyo maana wanatuongoza lakini kama wangekuwa hivi na wao leo hii tusingepata viongozi bora" Alisema mzee huyo hadi machozi kumtoka kwa uchungu.

Katika shindano hilo msindi alikuwa Salama na Suzy ambao ambao walijinyakulia kitita cha shilingi milioni mbili na nusu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post