HII NDIYO PAFYUM YENYE SUMU KALI,INAWEZA KUTOA UHAI WAKO UKIITUMIA


Chanel ya Tbc1 imetangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.

Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla.

Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.
via>>eddy blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post