Shida haina mwenyewe!! MALAYSIA YATUMIA WAGANGA WA JADI KUTAFUTA NDEGE ILIYOPOTEA..!! TAZAMA VIDEO HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOkktbGZmaQk4Zr5tWu8gw7VPb1KgiMGiTu6GfzoUiI-gqOlTqaQYh82_FXAo6wtTh0F64QVljs1Z79VqkpShKFE4eY3XYhtM__ZljRm8GjIejJWak4LshFNQ4NcZGtZq0YOmZCLSHqI4/s1600/malysia.pngWakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.
Mganga maarufu nchini humo Ibrahim Mat Zin anayejulikana kama ‘Raja Bomoh Sedunia Nujum VIP’ alifanya tambiko kwenye uwanja wa ndege Kuala
Lumpur Jumatatu hii kusaidia kuitafuta ndege hiyo ya MH370. Anadaiwa kuitwa na viongozi wa juu wa serikali.

“Nadhani ndege bado ipo angani ama ilianguka baharini,” alisema Ibrahim Mat Zin. 
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post