Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI DEUS SANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI SUMBAWANGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, Mhe. Deus Sangu, tarehe 13 Oktoba, 2026, amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa.

Katika ziara hiyo, Mhe. Sangu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Mwalimu Kwangula Missana, pamoja na viongozi wengine, akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Bwana Ephraim Konta.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com