Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DUA YA 40 YA MAREHEMU MAALIM HAFIDH AMEIR HASSAN YAFANYIKA



Mufti Ismail ibn Musa Menk kutoka Zimbabwe akisoma Dua kwenye hitma ya 40 ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa mume wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Oktoba, 2026.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Dua ya 40 ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa mume wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Oktoba, 2026.









Wananchi mbalimbali wakiwa kwenye Dua ya 40 ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa mume wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Oktoba, 2026.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Kassim Majaliwa, akiwasili kushiriki dua ya 40 ya marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyekuwa mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, Oktoba 10, 2026.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com