Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

INSP. CATHERINE LANGE AENDELEA KUNG’ARA RIADHA BAMMATA 2026


Na Ssgt Mawazo Mtondo - MWANZA

Mashindano ya Riadha ya Bammata 2026 yameendelea, Septemba 25, 2026, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwa mbio za mita 5,000, sawa na kuzunguka uwanja mara 12.

Mkaguzi wa Magereza INSP. Catherine Lange ameendelea kuonyesha ushindani baada ya kushika nafasi ya tatu, akirudia mafanikio aliyoyapata jana katika mbio za mita 10,000 za wanawake.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com