#RoadToTMIC2026 Fursa za Mabilioni ya Dola Zipo Kwenye Sekta ya Madini Tanzania.
Shiriki TMIC 2026 ili ugundue zaidi kuhusu fursa zinazotokana na utajiri wa madini wa Tanzania na nafasi yake katika kukidhi mahitaji ya soko la madini duniani.
Kushiriki, jisajili kupitia conference.madini.go.tz au piga simu hii
0714 278620
kwa taarifa zaidi.
Social Plugin