Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. SAMIA AONGOZA KAMATI KUU MAALUM NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Vikao Maalum vya Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu ya CCM Vilivyoketi jijini Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 26 Agosti 2026.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com