Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BALOZI WA TANZANIA ALGERIA, MOBHARE MATINYI, AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE AHMED ATTAF


Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwa katika mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf, mara baada ya kuwasilisha nakala za hati za utambulisho jijini Algiers, tarehe 26 Mei, 2026. Mazungumzo hayo yalihusu uimarishaji wa ushirikiano na uhusiano baina ya nchi hizi mbili.

Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Mhe. Ahmed Attaf, jijini Algiers, tarehe 26 Mei, 2026.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com