Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

💞✨ BATA LA SAANANE NA WANAWAKE 2026! ✨

💞✨ BATA LA SAANANE NA WANAWAKE ✨

🎉 Maadhimisho Maalum ya Siku ya Wanawake Duniani 2026 🎉

📍 Ndani ya mandhari ya kuvutia ya Kisiwa cha Saanane – Mwanza
sehemu pekee ya kipekee ndani ya Ziwa Victoria!

🗓 07.03.2026
🕓 Jumamosi | Saa 4:00 Asubuhi

💃🌸 Njoo tujumuike kusherehekea nguvu, umoja na mafanikio ya mwanamke katika mazingira ya asili yenye burudani ya kipekee!

🎁 Gharama: TZS 50,000 tu kwa mtu
(Inajumuisha:)
✔️ Usafiri wa kwenda na kurudi
✔️ Kiingilio
✔️ Chakula kitamu
✔️ Vinywaji baridi
✔️ Picha za kumbukumbu
✔️ Burudani kabambe

📸🍹🌿 Muziki • Mitandao • Mapumziko • Mtandao wa Wanawake Wenye Maono

📞 Wahi kujisajili sasa!
0765 034 208 | 0770 419 194

🛍 Tiketi zinapatikana pia:
Lipa Mixx by Yas – 44608070
Sisi Safaris and Souvenirs

🌷 Usikose kuwa sehemu ya historia hii ya kipekee!
#BataLaSaanane #Wanawake2026 #CelebrateHer

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com