Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU ASAFIRI KWA TRENI YA SGR KUELEKEA MOROGORO KUMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA VIONGOZI WA TAKUKURU


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 26, 2026, amesafiri kwa treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro, ambako anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mwaka wa Viongozi wa TAKUKURU.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com