Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

EX ALIAPA PEUPE HATANIRUDIA BAADA YA KUCHEATI NJIA HII YA KIPEKEE ILIMVUTA KURUDI


Baada ya kunicheat, uhusiano wetu ulivunjika vibaya. Aliniambia waziwazi hatarudi tena, hata nikijaribu kiasi gani. Maneno yake yaliniumiza, sio tu kwa sababu ya kuachwa, bali kwa sababu nilijua nilikuwa nimekosea.

Nilijilaumu, nikajuta, na nikaanza safari ngumu ya kujijenga upya nikiwa peke yangu. Sikuanza kwa kumfuata. Nilianza kwa kujitazama. Nilijifunza kukaa kimya, kukubali makosa yangu, na kubadilisha mienendo yangu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com