Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : ROSE MUHANDO X STEPHEN KASOLO - MWAKA HUU

Wasanii mahiri wa muziki wa injili Afrika Mashariki, Rose Muhando (Tanzania) na Stephen Kasolo (Kenya), wametoa rasmi wimbo mpya unaoitwa “Mwaka Huu”, ambao tayari umeanza kupokelewa kwa shangwe na waumini pamoja na mashabiki wa muziki wa injili.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com