Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KISIMA AACHIA VIDEO MPYA “PEJE”


Msanii maarufu wa nyimbo za asili Kanda ya Ziwa, Kisima, ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake uitwao “Peje”, iliyotayarishwa kwa ubora wa hali ya juu wa 4K.

Wimbo huu unaendeleza utamaduni wa muziki wa asili unaombatana na midundo ya kisasa, ukiwa na ujumbe unaogusa maisha ya kila siku na mapenzi. Kisima, anayejulikana kwa sauti yake ya kipekee na uandishi wa mashairi yenye mafunzo, ameendelea kuonyesha ubunifu na weledi katika kazi zake.

Video ya “Peje” imetengenezwa kwa ufanisi mkubwa na inapatikana kupitia YouTube kupitia kiungo hiki:
👉 Tazama hapa

Mashabiki wa muziki wa asili wameipokea kwa shangwe kubwa, wakimsifu Kisima kwa kuendelea kuutangaza muziki wa asili wa Kanda ya Ziwa kwa ubunifu wa kisasa. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com