Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAVUNDE AENDELEZA KAMPENI YA MTAA KWA MTAA...ANADI SERA IHUMWA - JIMBO LA MTUMBA




Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Ndg. Anthony Mavunde ameendelea na awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbalimbali katika maeneo husika.

Ndugu Mavunde ameendelea na ziara yake kata ya IHUMWA na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya ;-𝘾𝙝𝙖𝙣𝙜’𝙤𝙢𝙗𝙚, 𝘾𝙝𝙞𝙡𝙬𝙖𝙣𝙖, 𝙄𝙡𝙤𝙡𝙤 na 𝙄𝙝𝙪𝙢𝙬𝙖

Ndg. Mavunde pia ametumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Ihumwa Ndg. Edward Magawa


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com