Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NILIKUWA NAISHI KWENYE BANDA LA MABATI SASA MAJIRANI WANAPIGA PICHA KWENYE NYUMBA YANGU YA GHOROFA


Wakati wengine walikuwa wanazungumzia ndoto zao za kuishi kwenye majumba ya kifahari, mimi nilikuwa nalala kwenye godoro lililotoboka ndani ya banda la mabati. Sauti ya mbu na mvua ilikuwa ya kawaida usiku, na mara kadhaa nililazimika kufunika godoro kwa nailoni ili kuliepusha na matope. 

Hicho ndicho kilikuwa ‘chumba changu’ na sikuwahi hata kufikiria kuwa ningeweza kuamka ndani ya nyumba yangu mwenyewe ya ghorofa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com