Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NDUGU ZANGU WALINIFUKUZA NYUMBANI KWA MADAI ETI MIMI NI MKOSI LEO WANANIPIGIA SIMU WAKIOMBA KAZI


Nilizaliwa katika familia ya watoto saba kule Mbeya, nikiwa wa pili kuzaliwa. Tangu nikiwa mdogo, kulikuwa na mazoea ya kuniangalia kama mtu mwenye mikosi. 

Nilipoanguka darasani mara moja tu darasa la saba, mamangu alinitazama na kusema, “Wewe si mtu wa kufanikisha chochote.” Nilichukulia kama maneno ya hasira, lakini haikuishia hapo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com