Mohamed Mchengerwa leo Agosti 4, 2025 akiwa katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Azimio kata ya Umwe Rufiji pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu wa kata ya Umwe wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Wajumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la Rufiji, Mkoani Pwani.
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa kata ya Umwe wakipiga kura kwa amani kumchagua Mbunge wa jimbo la Rufiji na Diwani wa Umwe.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin