Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KADEGE WA CHAMA CHA UPDP ACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC



Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kulia) na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi wakionesha mkoba ulio na fomu


Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege

Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia UPDP, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi akisaini kitabu















Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com