Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ADONIS BITEGEKO ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MULEBA KASIKAZINI

Adonis Bitegeko

Na Mariam Kagenda _Kagera

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa imemteua Ndg Adonis Bitegeko kugombea Ubunge katika Jimbo la Muleba Kaskazini katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com