NILIPATA HARUFU YA MAITI KILA NILIPOPITA KUMBE KITU KILIKUWA KIMENISHIKA TANGU NILIPOCHUKUA KITU KISICHOKUWA CHANGU
Tuesday, July 15, 2025
Siku hiyo ilikuwa ya mvua ndogo, nikiwa safarini kutoka kazini kwenda nyumbani. Nilisimama kituoni kama kawaida, nikingoja matatu. Ghafla macho yangu yakakutana na mkoba mwekundu uliokuwa kwenye benchi.
Ulionekana mzuri, wa kisasa, na haukuwa na mtu yeyote karibu. Nilikaa nao dakika tano nikisubiri mmiliki ajitokeze hakuna aliyejitokeza. Nikauchukua kwa dhamira njema, nikisema nitaupeleka polisi au nitumie mitandao kumtafuta mwenyewe.Soma zaidi
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin