Mwenyekiti wa Timu ya Kishapu Veterani na Katibu wa Chama cha Mpira Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Sostenas Amasi akirejesha fomu ya utia nia kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Diwani wa Kata ya Kishapu Julai 1,2025
Mwenyekiti wa Timu ya Kishapu Veterani, Katibu wa Chama cha Mpira Wilaya na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Sostenas Amas amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama chake ili kugombea nafasi ya Udiwani wa Kishapu Julai 1,2025

Mwenyekiti wa Kishapu Veterani na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Sostenes Amas (kulia)akikabidhi fomu ya kuomba ridhaa kugombea nafasi ya kuwa Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga kwa Katibu wa Chama hicho Cornel Zengo(kushoto) Julai 1,2025 katika ofisi za Chama Wilayani humo

Social Plugin