Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JUMA MWESIGWA AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI

 





NA NEEMA NKUMBI-  KAHAMA

Mkurugenzi wa  HUHESO Foundation na HUHESO FM, Juma Mwesigwa, Julai 1, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kahama mjini kupitia chama cha mapinduzi (Ccm).



Fomu hiyo amekabidhiwa leo na katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya Kahama, Andrew Chatwanga ikiwa ni siku ya nne toka fomu hizo kuanza kutolewa


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com