Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KILA MWANAUME NILIYEGUSA ALIFILISIKA


Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu. Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya tumeanza mahusiano. Nilihisi ni bahati mbaya.

Wa pili, mfanyabiashara aliyekuwa na maduka matatu ya vifaa vya umeme, alianza kupata hasara ya kushangaza miezi miwili tu baada ya kuninunulia simu ya bei ghali. Baada ya miezi minne, alifilisika kabisa.Soma zaidi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com