Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PETER NYAMARASA AJITOSA KINYANG'ANYIRO UDIWANI KATA YA NYAHANGA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Nyamarasa ameonesha dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Nyahanga, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com