BANDORA SALUMU MIRAMBO AJITOSA KUWANIA UDIWANI KATA YA CHEMCHEM
Saturday, June 28, 2025
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Salu Security, Bandora Salumu Mirambo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Chemchem, Manispaa ya Tabora.
Bandora amechukua fomu hiyo leo Juni 28, 2025
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin