
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sinzo Khamis Mgeja, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Kundi la Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bara.
Mgeja amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Shinyanga.
Social Plugin