ANGELINA ACHUKUA NA KUREJESHA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA SOLWA
Monday, June 30, 2025
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angelina Adriano Maganga amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kwa ajili ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Solwa Mkoani Shinyanga.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin