AZZA HILLAL HAMAD ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI
Monday, June 30, 2025
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limekatwa kutoka Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin