
Hivi umewahi kujiuliza kwanini baadhi ya watu kushinda zabuni kwa urahisi lakini kwa wengine inakuwa vigumu?, vipi ukigundua kuna mbinu salama ya kushinda zabuni bila kuathiri biashara yako?.
Katika kijiji kimoja huko Mara?, kulikuwana shangwe kubwa za kumlaki kijana mmoja kutokea jijini Arusha, naye ni Sem ambaye alikuwa ameondoka nyumbani kwake miaka miwili iliyopita kwa bodaboda kabla ya kupanda basi na kwenda Nairobi kutafuta maisha.
Social Plugin