Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AINGIZWA MJINI AKIUZIWA MAWE AKIJUA NI DHAHABU


Naitwa Ally kutokea Mombasa, niko hapa kusimulia kwa uwazi masaibu yangu ya hivi majuzi na jinsi nilivyofanikiwa kuyashinda baada ya kunaswa katika mtandao mmoja wa kitapeli ambao ni hatari sana.

Nilikuja kugundua kuwa mtandao huu unaratibiwa na si mwingine bali mmoja wa Wabunge maarufu kutoka hapa nchini Kenya ila suala langu nadhani limempa somo la maisha.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com