
Jina langu ni Shamima kutokea Dodoma, mimi ni mwanamke wa miaka 40, mume wangu ni mfanyakazi wa serikari katika kitengo cha uwamiaji hapa mkoani, amefanya kazi kwa miaka 10 bila kupandishwa cheo kazini kwake.
Kila mara mume wangu aliniambia kuwa anafanya kazi kwa bidii na kwa umakini ila cha ajabu wenzake kila mwaka wanapandishwa vyeo ila yeye bado, kitendo cha mume wangu kukosa cheo kwa muda mrefu kilininyima raha kabisa.
Siku moja tulialikwa na mfanyakazi mwenzake aitwaye Chacha ambaye alikuwa amepandishwa cheo kazini kwao na kuhamishiwa mkoa mwingine.
Tulijianda na mume wangu kisha kwenda kwenye ukumbi husika kwa ajili ya sherehe hiyo, tulikutana na wafanyakazi mbalimbali na miongoni mwao alikuwepo Sam ambaye ndiye mkubwa wao pia ndie anaweza kumpandisha au kumshusha mtu cheo.
Sherehe iliendelea vizuri ikafika hatua mwenye sherehe akakaribishwa kwa ajili ya kutoa neno lolote kwa wafanyakazi wenzake pia kutoa shukrani kwa wakubwa wake kwa nafasi aliyopata. Chacha akiwa bado anaongea, Sam alinifuata na kisha kuniambia maneno haya;
"Mumeo ni mfanyakazi mzuri sana anastahiri kupandishwa cheo kutokana na elimu aliyonayo pamoja na bidii yake kazini, ila kupandishwa kwake cheo kupo mikononi mwako" alisema.
Kwa haraka niliweza kuuliza namna gani mume wangu atapandishwa cheo, ndipo alichukua simu yake na kuniomba namba yangu ya simu, bila kusita nilimpatia kisha tukarudi ukumbini, baada ya muda sherehe iliisha, hivyo tukianza kurejea manyumbani kwetu.
Tulipofika nyumbani mume wangu hakuwa na raha kabisa hivyo sikuweza mwambia kile nilichoambiwa na Boss wake, nilisubiri siku ambayo hatakwenda kazini ili niweze kumueleza.
Kesho yake asubuhi Sam alinipigia simu kisha kuniomba tukutane muda wa chakula cha mchana kuna jambo anataka kunieleza juu ya mme wangu
Baada ya kukata simu nikaanza kujiuliza huenda mume wangu anatabia mbaya ndio maana hapandishwi cheo, au mme wangu kuna mwanamke anatembea naye kazini kwake ndio maaana apewi cheo.
Maswali yote hayo sikuweza pata majibu kwa muda huo, muda ulifika kisha nikakutana na Sam ndipo akaniambia kuwa mume wangu kupata cheo nilale naye, mara tu mume wangu aweze fanikisha ndoto zake pia akanihakikishia kuwa kuna nafasi moja inahitaji mtu.
Nilinyanyuka pale nikiwa na hasira kisha kuelekea nyumbani kabla sijafika nyumbani alinitumia ujumbe kuwa nifikirie alichonambia kabla ya siku tatu kupita.
Nilipofika nyumbani nikasubiri mume wangu atoke kazini nimwambie kile Boss wake alichoniambia, hakujali, akasema anajua yeye hawezi pata nafasi ile kisha akaenda zake chumbani kulala hata hakula chakula.
Siku ilifuata nilichukua simu yangu na kumpigia Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya ambaye alinifanyia dawa (job spells) kwa ajili ya kupandishwa cheo kazini. Nilifanya hivyo maana sikutaka kuisaliti ndoa yangu.
Hatimaye mume wangu akapanishwa cheo pamoja na mshahara wake, mume wangu alipata furaha sana kuweza kupata nafasi hiyo, hivyo tuliandaa sherehe na kuwaalika wafanyakazi wenzake ili tuweze jumuika.
Ikiwa nawe unahitaji huduma hiyo, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Social Plugin