TAMASHA KUBWA LA BIASHARA NA BURUDANI "SEWA BUSINESS GALA" KUFANYIKA KAHAMA SEPTEMBA 27, 2024


SEWA BUSINESS GALA SEPTEMBER 27, 2024

----------------------------------------------

Tamasha hili la Biashara na Burudani litafanyika katika Manispaa ya Kahama Mkoa wa Shinyanga kuanzia saa 10:00 jioni mpaka saa 6  usiku siku ya Ijumaa Tarehe 27/9/2024

✅Ni tukio la kijamii lenye lengo la kuleta elimu ya Biashara na Fedha ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja, familia na Taifa kwa ujumla🙏


WALENGWA

Ni JAMII nzima. wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo, wa kati na wakubwa


VIINGILIO👇🏽

👉Viti kawaida Tsh 20,000/=


👉Single V.I.P Tsh 30,000/=

👉Double  V I.P  Tsh 50,000/=

👉Men round table watu 5   ( Tsh 400,000/=)

👉Women round table watu 5 (400,000/=)

👉MEZA watu 10 (Tsh 700,000/=)


VINYWAJI NA CHAKULA VITAKUWEPO

Kutakuwa na mahema maalumu kwa wafanyabiashara/wajasiriamali kuonyesha na kuuza bidhaa zao na tents ni Tsh 50,000/= JISAJILI MAPEMA

Thibitisha ushiriki wako kwa 0763 595 927📞

KuzaBiashara💰   SimamishaUchumi💰

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post