WAZIRI AWESO AFURAHISHWA HUDUMA KWA WATEJA DAWASA

 Waziri Aweso amefurahishwa na kauli njema kutoka mmoja wa wahudumu kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakati wa ziara yake inayoendelea Jijini Dar es salaam alipopiga namba hiyo 0800110064 inayopatikana bila malipo na kuongea na mhudumu kwa weledi zaidi kwa kuhakikishiwa huduma bila usumbufu.


Amefanya zoezi hilo akiwa katika Mtaa wa Kibululu Kata ya Goba Wilayani Ubungo alipokutana na Wananchi wakati wa kusikiliza changamoto za huduma ya Maji.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post